Yanga TV
Yanga TV
  • Видео 3 278
  • Просмотров 129 675 814

Видео

"TUMEKODISHA NDEGE IBEBE KOMBE LA CRDB" TAMBO ZA ALLY KAMWE AKIWA SERENGETI
Просмотров 15 тыс.23 часа назад
#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi
MSIKIE ALLY KAMWE AKIZUNGUMZA NDANI YA SERENGETI | UJIO WA ACHRAF HAKIMI | USAJILI MPYA
Просмотров 32 тыс.2 часа назад
#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi #SerengetiNationalPark
MTOTO KALILIA WEMBE/TUKUTANE KWA MKAPA JUMAPILI HII WANANCHI
Просмотров 13 тыс.2 часа назад
MTOTO KALILIA WEMBE/TUKUTANE KWA MKAPA JUMAPILI HII WANANCHI
MCHEZAJI WA PSG HAKIMI ALIVYOTUA NA RAIS WA YANGA KUTALII SERENGETI
Просмотров 44 тыс.2 часа назад
MCHEZAJI WA PSG HAKIMI ALIVYOTUA NA RAIS WA YANGA KUTALII SERENGETI
ALLY KAMWE ALIVYOINGIA NA KOMBE LA CRDB HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI
Просмотров 12 тыс.4 часа назад
ALLY KAMWE ALIVYOINGIA NA KOMBE LA CRDB HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI
DAKIKA 45 ZA NGUVU: TIMU KIBWANA NA JOB WAKIENDA MAPUMZIKO - WAPE TABASAMU
Просмотров 5 тыс.7 часов назад
DAKIKA 45 ZA NGUVU: TIMU KIBWANA NA JOB WAKIENDA MAPUMZIKO - WAPE TABASAMU
GOLI KALI LA RAIS ENG. HERSI DHIDI YA TIMU KIBWANA MOROGORO
Просмотров 46 тыс.7 часов назад
#WapeTabasamu
MBWEMBWE ZA ALLY KAMWE TIMU JOB NA TIMU KIBWANA WAKIINGIA UWANJANI - MOROGORO
Просмотров 11 тыс.7 часов назад
MBWEMBWE ZA ALLY KAMWE TIMU JOB NA TIMU KIBWANA WAKIINGIA UWANJANI - MOROGORO
Maofisa CSKA Moscow ndani ya Zanzibar 🛳 kusaka vipaji ⚽️
Просмотров 2 тыс.7 часов назад
Maofisa CSKA Moscow ndani ya Zanzibar 🛳 kusaka vipaji ⚽️
ALLY KAMWE ALIVYONOGESHA VIBE KWENYE SGR SAFARI YA MOROGORO WAPE TABASAMU
Просмотров 46 тыс.7 часов назад
ALLY KAMWE ALIVYONOGESHA VIBE KWENYE SGR SAFARI YA MOROGORO WAPE TABASAMU
MAAFISA KUTOKA CSKA MOSCOW WAKIZUNGUMZA BAADA YA MAJARIBIO KWA VIJANA DAR ES SALAAM
Просмотров 21 тыс.9 часов назад
MAAFISA KUTOKA CSKA MOSCOW WAKIZUNGUMZA BAADA YA MAJARIBIO KWA VIJANA DAR ES SALAAM
KAULI YA CEO MTINE BAADA YA KUSHUHUDIA MASKAUTI WA CSKA MOSCOW WAKISAKA VIPAJI VYA VIJANA
Просмотров 9 тыс.9 часов назад
KAULI YA CEO MTINE BAADA YA KUSHUHUDIA MASKAUTI WA CSKA MOSCOW WAKISAKA VIPAJI VYA VIJANA
ALLY KAMWE ALIVYOKAGUA BEHEWA LA SGR KUELEKEA MOROGORO KWENYE TAMASHA LA WAPE TABASAMU
Просмотров 21 тыс.9 часов назад
ALLY KAMWE ALIVYOKAGUA BEHEWA LA SGR KUELEKEA MOROGORO KWENYE TAMASHA LA WAPE TABASAMU
MAAFISA KUTOKA CSKA MOSCOW WAKIFANYA MAANDALIZI YA KUSAKA VIPAJI DSM
Просмотров 20 тыс.9 часов назад
MAAFISA KUTOKA CSKA MOSCOW WAKIFANYA MAANDALIZI YA KUSAKA VIPAJI DSM
RAIS ENG. HERSI ALIVYOMHAMISHA BACCA KUJIUNGA NA TIMU JOB | KIBWANA APAGAWA - WAPE TABASAMU
Просмотров 23 тыс.12 часов назад
RAIS ENG. HERSI ALIVYOMHAMISHA BACCA KUJIUNGA NA TIMU JOB | KIBWANA APAGAWA - WAPE TABASAMU
RAIS ENG. HERSI ALIVYOKUTANA NA MAAFISA WA KLABU YA CSKA MOSCOW - DSM
Просмотров 22 тыс.12 часов назад
RAIS ENG. HERSI ALIVYOKUTANA NA MAAFISA WA KLABU YA CSKA MOSCOW - DSM
WACHEZAJI WA ZAMANI YANGA WALIVYOWAPA SOMO MABINGWA WA SAFARI LAGER CUP - AVIC TOWN
Просмотров 14 тыс.14 часов назад
WACHEZAJI WA ZAMANI YANGA WALIVYOWAPA SOMO MABINGWA WA SAFARI LAGER CUP - AVIC TOWN
ALLY KAMWE ALIVYOKISHUHUDIA KIKOSI CHA SAFARI LAGER KIKIFANYA MAZOEZI AVIC TOWN
Просмотров 10 тыс.14 часов назад
ALLY KAMWE ALIVYOKISHUHUDIA KIKOSI CHA SAFARI LAGER KIKIFANYA MAZOEZI AVIC TOWN
YANGA IMEFUNGIWA KUSAJILI NA FIFA? ALLY KAMWE AFUNGUKA UKWELI WOTE
Просмотров 12 тыс.14 часов назад
YANGA IMEFUNGIWA KUSAJILI NA FIFA? ALLY KAMWE AFUNGUKA UKWELI WOTE
KUNA VITU VYA KUSAHAU LAKINI SIYO MAXI DAY | JIKUMBUSHE HAPA WANANCHI WALIVYOCHOMEKEA 🤩
Просмотров 25 тыс.16 часов назад
KUNA VITU VYA KUSAHAU LAKINI SIYO MAXI DAY | JIKUMBUSHE HAPA WANANCHI WALIVYOCHOMEKEA 🤩
MAGOLI YA KIBABE WALIYOSHINDA YANGA U17 DHIDI YA SIMBA U17 - CHAMAZI
Просмотров 19 тыс.19 часов назад
MAGOLI YA KIBABE WALIYOSHINDA YANGA U17 DHIDI YA SIMBA U17 - CHAMAZI
UTAPENDA! RAIS ENG. HERSI AKI-ENJOY NDANI YA SERENGETI AKIWA JUU YA BALLOON
Просмотров 29 тыс.21 час назад
UTAPENDA! RAIS ENG. HERSI AKI-ENJOY NDANI YA SERENGETI AKIWA JUU YA BALLOON
MUONEKANO WA KITABU CHA YANGA | KITABU CHETU, HISTORIA YETU
Просмотров 3,7 тыс.День назад
MUONEKANO WA KITABU CHA YANGA | KITABU CHETU, HISTORIA YETU
KITABU CHA YANGA KILIVYOZINDULIWA NA NAIBU WAZIRI MKUU DK BITEKO
Просмотров 7 тыс.День назад
KITABU CHA YANGA KILIVYOZINDULIWA NA NAIBU WAZIRI MKUU DK BITEKO
HOTUBA YA NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO KWENYE UZINDUZI WA KITABU CHA YANGA
Просмотров 4,9 тыс.День назад
HOTUBA YA NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO KWENYE UZINDUZI WA KITABU CHA YANGA
RAIS MSTAAFU DKT. SHEIN ASIMULIA ALIVYOIKOSA KADI YA YANGA 1969 AKIENDA URUSI - KITABU CHA YANGA
Просмотров 9 тыс.День назад
RAIS MSTAAFU DKT. SHEIN ASIMULIA ALIVYOIKOSA KADI YA YANGA 1969 AKIENDA URUSI - KITABU CHA YANGA
ALICHOKISEMA NAIBU WAZIRI MWANA FA KWENYE UZINDUZI WA KITABU CHA YANGA
Просмотров 3,6 тыс.День назад
ALICHOKISEMA NAIBU WAZIRI MWANA FA KWENYE UZINDUZI WA KITABU CHA YANGA
KAULI YA RAIS WA TFF KARIA KWENYE UZINDUZI WA KITABU CHA YANGA
Просмотров 16 тыс.День назад
KAULI YA RAIS WA TFF KARIA KWENYE UZINDUZI WA KITABU CHA YANGA
CHRISTIAN BELLA ALIVYOMNYANYUA MAMA KARUME KWENYE UZINDUZI WA KITABU
Просмотров 6 тыс.День назад
CHRISTIAN BELLA ALIVYOMNYANYUA MAMA KARUME KWENYE UZINDUZI WA KITABU

Комментарии

  • @NomceboAprilZuma
    @NomceboAprilZuma 14 минут назад

    Can somebody please tell this guy to join Orlando pirates ☠️ 🔥

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 48 минут назад

    Ally kamwe kazi yako nzuri

  • @mwanangusana
    @mwanangusana 56 минут назад

    Jaribu kuvaa viatu vya charman mangungu na uo ujio wa Ashraf Hakimi ......😂😂😂

  • @mwanangusana
    @mwanangusana 58 минут назад

    Sipati picha hii connection ya Hakimi kama angeipata Murtaza Ali Mangungu......Mgogoro na kelele za madunduka zingeisha hiyo ni fursa kubwa mno kwa chairman mangungu

  • @mwanangusana
    @mwanangusana Час назад

    😢

  • @saidrajab3808
    @saidrajab3808 Час назад

    Muvibe anaogopa😂😂

  • @AzizaHussein-wq8ql
    @AzizaHussein-wq8ql Час назад

    Gonga like apa kama ınaikubali yanga umu tu!!!! ❤

  • @user-ox3pd3vc9d
    @user-ox3pd3vc9d Час назад

    Haya maisha haya bas tu mm nafkish miaka 43 cjawahi panda ndege lkn kombe Lina siti yake dah kweli hii dunia Haina usawa hapa nimelela kumekucha lkn usk ckupata usingizi rejesho laki Saba lkn hata laki 2 Sina nataman hata kufa Ila ngoja tumwachie yeye Alie tumba lkn kwa hakili zangu km nimezidiwa na maisha Sina furaha mpka mtu unatamani niwe mkenya nikandamane na niwe wa mbele waniue

  • @danielsaninga1787
    @danielsaninga1787 2 часа назад

    Na Bado Bugati ndani,mbona msimu huu kazi wanayo

  • @AshaSahili
    @AshaSahili 3 часа назад

    Ndugu yangu mungu usi msahau sana kumuabudu. Hapa nisehem ya kupita tuu.

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 4 часа назад

    Kombe nalo limefungwa mkanda

  • @MaicoMichael-ml5dl
    @MaicoMichael-ml5dl 4 часа назад

    Zakazaka aliteseka sana

  • @MaicoMichael-ml5dl
    @MaicoMichael-ml5dl 4 часа назад

    ❤❤❤❤❤

  • @mansouromary9246
    @mansouromary9246 8 часов назад

    ILA ALI KAMWE😂😂

  • @evaristangelo8856
    @evaristangelo8856 10 часов назад

    Mr Kamwe hana dogo😂😂😂😂

  • @user-ql2hc7zt6b
    @user-ql2hc7zt6b 11 часов назад

    Toto tundu

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 11 часов назад

    Kweli Yanga ya msimu huu kiboko 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 11 часов назад

    Kennedy Msondaaaaa.💚💚💚💛💛💛

  • @AbdallahHussein-z7o
    @AbdallahHussein-z7o 12 часов назад

    Grut

  • @ismailkiwawas5982
    @ismailkiwawas5982 12 часов назад

    😂😂😂😂😂hapo kwa mai wetu duuh😂😂😂😂wewe kamwe ww

  • @PaskoAyubu-x3q
    @PaskoAyubu-x3q 12 часов назад

    Kwann huwamuni ss ndoo yanga

  • @samsonyuves7923
    @samsonyuves7923 12 часов назад

    Baba Pamela 😂😂😂😂

  • @shafiimdogwa1482
    @shafiimdogwa1482 12 часов назад

    Uwa Anakula Chakula Gan? Mkuu

  • @ismailkiwawas5982
    @ismailkiwawas5982 13 часов назад

    😂😂😂kanifurahisha Sana bwana ruban

  • @Official83640
    @Official83640 13 часов назад

    Ila Ally we huogopi 😂😂😂😂😂

  • @mgambohalua6244
    @mgambohalua6244 13 часов назад

    Jaman hata hamkumpa semaji la makolo lifti

  • @OthanMedia_
    @OthanMedia_ 13 часов назад

    Ila KAMWE 😂

  • @user-nn8yj7fe4n
    @user-nn8yj7fe4n 13 часов назад

    " kombe linatengenezewa heshima yake ili msimu ujao ,wachezaji wakipewa video wajue ni deni kubwa"" I love my team napenda mipango yetu aisee " Risk at starting then enjoy more in future "

  • @burudatv751
    @burudatv751 13 часов назад

    Mimi ni yanga nimejaribu kukaa upande wa simba halafu nimeangalia hii imeniuma saaaana

  • @ramadhanikuchuna5410
    @ramadhanikuchuna5410 13 часов назад

    Kuwakilisha kufanya jambo kwa niaba, kuwasilisha ni kukabidhi iwe ripoti au taarifa

  • @richardmaimu9596
    @richardmaimu9596 14 часов назад

    Napata hisia hizi ni moja ya sababu za matumizi kuzidi bajeti

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 14 часов назад

    Hongera Sana semaji letu naona unatamba na kombe lako mwenyewe

  • @NyunduMtewele-ez7ei
    @NyunduMtewele-ez7ei 15 часов назад

    Yaan ili kombe wamelitangaza kuliko ata kombe ka ligi

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 15 часов назад

    DKT Na ENG HERS SAID Unastahili kuitwa Doctor

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 15 часов назад

    Nakubali sana skudu❤🎉

  • @naliakafatuma9870
    @naliakafatuma9870 16 часов назад

    Kila la kheri kazi njema barikiwa Sana Yanga

  • @ommyguyz525
    @ommyguyz525 16 часов назад

    Balaa tupu Ni umu tuu

  • @SurprisedMacawBird-qh7dg
    @SurprisedMacawBird-qh7dg 16 часов назад

    Mechi gani tena nani anajua anishutue?

  • @allinoti
    @allinoti 17 часов назад

    Kazi wanayo upande wapili

  • @TatuHusseni-hs7mu
    @TatuHusseni-hs7mu 17 часов назад

    Kombe zuri sana kama la CAF tujipongeze wana Yanga 🎉🎉

  • @SiliviaJoshua-gd3xd
    @SiliviaJoshua-gd3xd 17 часов назад

    Mmetisha yanga hamna jambo dogo

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs 18 часов назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿

  • @ntanilanjema04
    @ntanilanjema04 18 часов назад

    🔥🔥🔥

  • @user-ik4sr1bb2r
    @user-ik4sr1bb2r 18 часов назад

    Hapo sawa wananchii

  • @Mwenjala
    @Mwenjala 18 часов назад

    Kocha wa boli uyo ila yule mnae miuta magwaya muacheni aende kwa makolo kwanza anachomesha Sana jamaa sijajua Ana shida gani uzuli job na bacca wapo isingekua Hao sijui ingekua je kila kitu na zama zake

  • @Zaburi-
    @Zaburi- 19 часов назад

    Huyo mu sijui nani muoga kinoma😂😂😂

  • @SenaseMalemi
    @SenaseMalemi 19 часов назад

    Hayo maumivu hatayasahau unakera kijana wetu wanyooshe

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 19 часов назад

    Hongereni tunawatamani jamani wengine tunaishia tu kukomenti na kulaiki sijui huko tutafika lini😂😂😂😂😂

  • @aishahaji3128
    @aishahaji3128 20 часов назад

    Lakininhakuna msemaji anatumiampesa za timu km huyu jamani hizi sifa zinatumianpesa sana tu

    • @AmanaHassan-cy4fi
      @AmanaHassan-cy4fi 16 часов назад

      Ingia darasani kwanza... Ndio utajua pesa wapi zinarejeshwa kwa hilo zoezi